Bofya link kwenye Bio yetu kusoma story hii.....
by boiplus_blogspot 1 year ago | via Instagram

PSG nao siku haikuwa mbaya.....wameongeza vikombe kabatini.
by boiplus_blogspot 1 year ago | via Instagram

Zinedine Zidane kocha mkuu wa Real Madrid amesema anapata wakati mgumu kumuacha James Rodriguez katika benchi kutokana na uwezo wake,kocha huyo amesema ana kikosi cha wachezaji 23 na inambidi achague wachezaji 11 tu,hivyo inambidi kumuacha James benchi in
by boiplus_blogspot 1 year ago | via Instagram

Fainali ligi ya mabingwa ulaya inafanyika Leo hapo saa 3 na dk 45 usiku,Fainali hiyo inawakutanisha Atletico Madrid na Real Madrid mahasimu wakubwa katika jiji ya Madrid,Timu hizi zimeweka record ya kua klabu pekee kucheza fainali 2 za mabingwa wa klabu b
by boiplus_blogspot 1 year ago | via Instagram

Bofya link kwenye Bio yetu kusoma story hii......
by boiplus_blogspot 1 year ago | via Instagram

JAZEERA BEAUTY PRODUCTS @jazeera_beauty_products ndio suluhisho la matatizo ya NGOZI. Wadada Wamama wanaozipenda ngozi zao pamoja na Wakaka Wababa wasiopenda kuona warembo wao wanaathiriwa na vipodozi vyenye KEMIKALI hatari.....kimbilio lao ni JAZEERA
by boiplus_blogspot 1 year ago | via Instagram