KIKOSI CHA ENGLAND EURO 2016
by boiplus_blogspot 1 year ago | via Instagram

Kocha wa Tottenham Hotspurs Muargentina Pochettino amekiri kua Mason,Bentaleb na Son wapo sokoni na ofa ikija watakaa chini na kuzungumza na timu itakayowahtaji,Pochettino hajaridhika na uwezo wa wachezaji hao klabuni hapo
by boiplus_blogspot 1 year ago | via Instagram

Real Madrid 1-0 Atletico Sergio Ramos.....
by boiplus_blogspot 1 year ago | via Instagram

Fuata link ya blue kwenye Bio yetu kusoma story hii.....
by boiplus_blogspot 1 year ago | via Instagram

Fainali ligi ya mabingwa ulaya inafanyika Leo hapo saa 3 na dk 45 usiku,Fainali hiyo inawakutanisha Atletico Madrid na Real Madrid mahasimu wakubwa katika jiji ya Madrid,Timu hizi zimeweka record ya kua klabu pekee kucheza fainali 2 za mabingwa wa klabu b
by boiplus_blogspot 1 year ago | via Instagram

Ha haaaaa.....ni ngumu sana kuizuia furaha ya Ubingwa. BOIPLUS INAWAPONGEZA YANGA KWA KUTWAA UBINGWA WA FA
by boiplus_blogspot 1 year ago | via Instagram